Ni zamu ya Udzungwa sasa Wanawake na Utalii

  

Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa kushirikiana na Tanzania Smile Safaris limeandaa safari ya kipekee ya siku tatu, kuanzia tarehe 12 hadi 14 Oktoba 2024. Safari hii itaanzia Dar es Salaam kupitia Morogoro kwa treni ya SGR kuelekea Hifadhi ya Taifa Milima Udzungwa.

 Tutatembelea maeneo ya kihistoria kama Makumbusho ya Chief Kingalu, tutaelekea kwenye Hifadhi za Taifa Milima Udzungwa na Mikumi, ambapo tutajionea maajabu ya utamaduni wa Waluguru, Maporomoko ya Sanje maarufu kama "Heaven on Earth," na tutawaona wanyama pori wa aina mbalimbali kwa ukaribu. 

Safari hii imeandaliwa kwa burudani ya hali ya juu! Chakula kitamu, vinywaji vya aina zote, na muziki mzuri kutoka kwa DJ maarufu vitakufanya usahau shida zako na ufurahie maisha. 

Gharama: Kulingana na Daraja la treni 300,000/- Business, 270,000/- Economy. -Gharama zinajumuisha chakula, malazi kwenye mahema, viingilio, na burudani zote. 

Kwa mawasiliano zaidi: 0755-559013

Chapisha Maoni

0 Maoni