Matukio ya Mhe. Waziri Mkuu Majaliwa Bungeni leo

 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizunguimza na Waziri wa chi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Vangimembe Lukuvi, bungeni jijini Dodoma, Septemba 3, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Tunduru, Zidadu Kungu kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 3, 2024. (Picha na OIfisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank (TCB),  Adam Mihayo, ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma, Septemba 3, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni