CCM yatoa pole kufuatia kifo cha Kibao wa CHADEMA

 

Katibu wa NEC-Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla atoa pole kwa CHADEMA kufuatia kifo cha kiongozi wao Mzee Ali Mohamed Kibao Mjumbe wa Sekretarieti ya Chama Taifa.




Chapisha Maoni

0 Maoni