Rais Samia azindua bwawa lenye mita za ujazo milioni 25 la Mtibwa Sugar

 

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wafanyakazi wa kiwanda cha sukari cha Mtibwa mara baada ya kuzindua Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba ya Kiwanda hicho, Mvomero Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti, 2024.

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwa la msingi wakati akizindua bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba na umwagiliaji katika Kiwanda cha sukari Mtibwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya Kikazi, Mvomero Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti, 2024.

Baadhi ya mawaziri, viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wakimsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan (hauyupo pichani), akizungumza wakati wa uzinduzi wa bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba ya kiwanda hicho, Mvomero Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti, 2024.

Muonekano wa bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 la kiwanda cha sukari cha Mtibwa lililozinduliwa leo na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba ya Kiwanda hicho, Mvomero Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti, 2024.

Muonekano wa bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 la kiwanda cha sukari cha Mtibwa lililozinduliwa leo na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba ya Kiwanda hicho, Mvomero Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga wakati alipotembelea Kituo cha Kupoza Umeme Ifakara ikiwa sehemu ya ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro, tarehe 4 Agosti, 2024.

Muonekano wa Kituo cha Kupoza Umeme Ifakara kilichotembelewa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa sehemu ya ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro, tarehe 4 Agosti, 2024.



Chapisha Maoni

0 Maoni