Rais Samia ashuhudia burudani ya Bongo na Zenji Flavor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akiangalia vikundi mbalimbali vya burudani pamoja na Wasanii wakitumbuiza kwenye usiku wa Bongo na Zenji Flavor, Paje Zanzibar  tarehe 24 Agosti, 2024.

Vikundi mbalimbali vya burudani pamoja na Wasanii wakitumbuiza kwenye usiku wa Bongo na Zenji Flavor, Paje Zanzibar tarehe 24 Agosti, 2024, burudani hiyo ilihudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali.

Baadhi ya wananchi wakifurahia burudani iliyokuwa ikitolewa na Vikundi mbalimbali vya burudani pamoja na Wasanii katika usiku wa Bongo na Zenji Flavor, Paje Zanzibar tarehe 24 Agosti, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni