Rais Samia apokea hati za utambulisho za mabalozi wateule

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Denmark hapa nchini Mhe. JesperKammersgaard Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Denmark hapa nchini Mhe. Jesper Kammersgaard Ikulu Jijini Dar es Salaam baada ya kupokea Hati za Utambulisho kutoka kwa balozi huyo leo tarehe 12 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Rwanda hapa nchini Mhe. Nyamvumba Patrick Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongea na Balozi Mteule wa Rwanda hapa nchini Mhe. Nyamvumba Patrick Ikulu Jijini Dar es Salaam baada ya kupokea Hati za Utambulisho kutoka kwa balozi huyo leo tarehe 12 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Zimbabwe hapa nchini Mhe. Helen Bawange Dingani, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongea na Balozi Mteule wa Zimbabwe hapa nchini Mhe. Helen Bawange Dingani, Ikulu Jijini Dar es Salaam baada ya kupokea Hati za Utambulisho kutoka kwa balozi huyo leo tarehe 12 Agosti, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni