Rais Samia ajionea bidhaa za kilimo Nanenane

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia bidhaa mbalimbali za kilimo zilizotokana na bustani zilizopo kwenye Viwanja vya Maonesho ya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024. Bustani hizo zimetumia mbolea za ndani na nje ya nchi ili kuwaonesha Wakulima tija ya mbolea za ndani.

Makapu yenye bidhaa mbalimbali za kilimo zilizotokana na bustani zilizopo kwenye Viwanja vya Maonesho ya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024. Bustani hizo zimetumia mbolea za ndani na nje ya nchi ili kuwaonesha Wakulima tija ya mbolea za ndani.

Muonekano wa busstani zilizopo kwenye Viwanja vya Maonesho ya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024. Bustani hizo zimetumia mbolea za ndani na nje ya nchi ili kuwaonesha Wakulima tija ya mbolea za ndani.

Chapisha Maoni

0 Maoni