Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki katika Mkutano wa Elimu wa Kikanda wa Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) tarehe 13 Agosti 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Elimu wa Kikanda wa Jumuiya ya Afrika Mashariki pamoja na Sherehe za Mwaka wa Elimu wa Umoja wa Afrika uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) tarehe 13 Agosti 2024.
Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Elimu wa Kikanda wa Jumuiya ya Afrika Mashariki pamoja na Sherehe za Mwaka wa Elimu wa Umoja wa Afrika uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) tarehe 13 Agosti 2024.
0 Maoni