Waziri Mkuu ashiriki mbio za Great Ruaha Marathon

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika mbio za Great Ruaha Marathon 2024 zilizofanyika ndani ya hifadhi ya Ruaha, Mkoani Iringa, Julai 6, 2024.  Mbio hizo zililenga kukuza utalii na kutoa hamasa ya kuhifadhi mazingira kwenye vyanzo vya maji vya Mto Ruaha Mkuu.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akizungumza baada ya kushiriki katika mbio za Great Ruaha Marathon 2024 zilizofanyika ndani ya hifadhi ya Ruaha, Mkoani Iringa, Julai 6, 2024.  Mbio hizo zililenga kukuza utalii  na kutoa hamasa ya kuhifadhi mazingira kwenye vyanzo vya maji vya Mto Ruaha Mkuu.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni