Waziri Mkuu akabidhi hati ya eneo la CBE Kilolo

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya Uongozi wa  Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Profesa Winester Anderson hati ya kiwanja cha Chuo hicho eneo la Mbigili wilayani Kilolo MKoa wa Iringa, Julai 8, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Wasanii wa Bendi ya Mjomba wakicheza sarakakasi katika  hafla ya kukabidhi hati ya  kiwanja cha Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Mbigili wilayani Kiliolo mkoani Iringa, Julai 8, 2024. Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu Kasim Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni