Rais Samia azungumza na Machifu wa mikoa mbalimbali nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili  kwenye viwanja vya Ikulu kwa ajili ya kuzungumza na Machifu kutoka Mikoa mbalimbali nchini, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye viwanja vya Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma akizungumza na Machifu kutoka Mikoa mbalimbali nchini leo tarehe 20 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan ambae pia ni Kiongozi wa Machifu (Chifu Hangaya) akisalimiana na Machifu wa mikoa mbalimbali mara baada ya kuwasili viwanja vya Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma kwenye Mkutano na Viongozi hao leo Julai 20,2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiwa kwenye picha ya pamoja na Machifu kutoka Mikoa mbalimbali nchini katika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Julai, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni