Rais Samia atembelea kituo cha umeme cha Gridi ya Taifa Katavi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Kituo cha kupokea na kupoza umeme wa Gridi ya Taifa kilichopo Inyonga Mkoani Katavi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga tarehe 13 Julai, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia anaendelea na Ziara yake ya Kikazi Mkoani humo ambapo atakagua na kufungua miradi mbalimbali ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.

Muonekano wa mitambo ya kituo cha kupokea na kupoza umeme wa Gridi ya Taifa kilichopo Inyonga Mkoani Katavi, kilichotembelewa leo tarehe 13 Julai, 2024, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika ziara ya mkoani Katavi.

Chapisha Maoni

0 Maoni