Rais Samia ashiriki Mahafali ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mahafali ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kozi ya 12 kwa Mwaka 2023/2024, Kunduchi Jijini Dar es Salaam, leo tarehehe 27 Julia,2024.

Baadhi ya Waambata Jeshi pamoja na Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kozi ya 12 kwa mwaka 2023/2024 wakiwa wamesimama wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa wakati wa kwenye Mahafali ya Chuo hicho Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni