Rais Samia ashiriki Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, leo tarehe 05 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, leo tarehe 05 Julai, 2024.

Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 05 Julai, 2024.

Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,leo tarehe 05 Julai, 2024.

Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar wakiomba dua katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip. Kongamano hilo lemehudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 05 Julai, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni