Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali yaipongeza Mahakama Kuu kanda ya Songea

 

Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akisaini kitabu cha wageni alipofika Ofisini kwa Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Songea, Mhe. James Karayemaha (hayupo pichani) wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Songea.

Wakili wa Serikali Mfawidhi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Egidy Mkolwe akizungumza wakati wa ziara ya Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (hayupo pichani) alipofika Ofisini kwa Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Songea, Mhe. James Karayemaha (hayupo pichani) wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Songea.

Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (wa tatu kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Songea, Elizabeth Nyembele (wa tatu kulia) baada ya kikao cha pamoja kilichofanyika kwenye Mahakama hiyo wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Songea.






Chapisha Maoni

0 Maoni