Naibu Wakili Mkuu wa Serikali atembelea Maonesho ya Sabasaba

 

Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akimsikiliza Afisa Uhusiano Mwandamizi wa EWURA, Bi. Asiatu Msuya alipotembelea banda la Ofisi hiyo kwenye Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akipokea zawadi ya jarida na vipeperushi kutoka kwa Afisa Uhusiano Mwandamizi wa EWURA, Bi. Asiatu Msuya baada ya kutembelea banda la Ofisi hiyo kwenye Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akitazama moja ya bidhaa inayopatikana ndani ya banda la Zanzibar alipotembelea banda hilo kwenye Maonesho ya Sabasaba ya jijini Dar es Salaam.

Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (aliyesimama katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali alipotembelea banda la Ofisi hiyo kwenye Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.








Chapisha Maoni

0 Maoni