Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa taarifa ya Serikali Bungeni kuhusu kupinga ukatili dhidi ya watu wenye Ualbino leo tarehe 20 Juni 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Chama cha Watu wenye Ualbino kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Juni19, 2024. Wa pili kulia ni Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Deogratius Ndejembi na wa tatu kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 Maoni