Rais Samia atoa Mhadhara wa Falsafa yake ya R Nne

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Mhadhara wenye Mada ya Falsafa ya R Nne (4Rs) ambayo anaitumia katika kuongoza Serikali ya Awamu ya Sita.

Mhadhara huo umefanyika  katika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi (NDC), Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26, Juni 2024. Falsafa yake ya R4 ni: Reconciliation (Maridhiano), Resilience (Ustahimilivu), Reforms (Mageuzi) and Rebuilding (Kujenga upya).



Chapisha Maoni

0 Maoni