Rais Samia aongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (NEC) Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2024.

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiwa kwenye Kikao cha NEC Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni