Rais Samia aongea kwa kina na Dk. Ndugulile

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo ya kina na Dk. Faustine Engelbert Ndugulile ambaye anawania nafasi ya juu ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika. Kila la kheri @faustine_ndugulile.

Chapisha Maoni

0 Maoni