Rais Samia ampokea Rais Embaló wa Guinea-Bissau

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau, Mhe. Umaro Sissoco Embaló leo tarehe 22 Juni, 2024 Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais Embaló yuko nchini kwa ziara ya kikazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau, Mhe. Umaro Sissoco Embaló leo tarehe 22 Juni, 2024 Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais Embaló yuko nchini kwa ziara ya kikazi.

Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau Mhe. Umaro Sissoco Embaló akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau Mhe. Umaro Sissoco Embaló, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau Mhe. Umaro Sissoco Embaló aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2024. 

Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau Mhe. Umaro Sissoco Embaló akiongoza ujumbe wa Nchi yake kwenye mazungumzo Rasmi na ujumbe wa Tanzania ulioongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2024.


Chapisha Maoni

0 Maoni