Mawaziri waizungumzia ziara ya Rais Samia Korea

  

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu  Kijaji akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Juni, 2024 kuhusu Ziara Rasmi ya Kiserikali aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei 2024 hadi tarehe 05 Juni 2024. 

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Juni, 2024 kuhusu Ziara Rasmi ya Kikazi aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei 2024 hadi tarehe 05 Juni 2024.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji) Mhe. Prof. Kitila Mkumbo akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Juni, 2024 kuhusu masuala ya Uwekezaji wakati wa Ziara Rasmi ya Kiserikali aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei, 2024 hadi tarehe 05 Juni, 2024. 

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Juni, 2024 kuhusu masuala ya Uwekezaji wakati wa Ziara Rasmi ya Kiserikali aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei, 2024 hadi tarehe 05 Juni, 2024.


Chapisha Maoni

0 Maoni