Waziri Mkuu Majaliwa akijibu maswali ya wabunge leo

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali, bungeni jijini Dodoma, Juni 6, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia bungeni jijini Dodoma, Juni 6, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, bungeni jijini Dodoma, Juni 6, 2024. Katikati  ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Mayenga akimuuliza swali Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, bungeni jijini Dodoma, Juni 6, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni