Matukio ya Waziri Mkuu Majaliwa Bungeni leo

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 25, 2024. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Kilosa, Profesa Palamagamba Kabudi, Mbunge wa Kondoa Mjini Ally Makoa na Mbunge wa Kasulu Mjini Profesa Joyce Ndalichako. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kigamboni na mgombea wa nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika Dkt. Faustine Ndugulile kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 25, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kigamboni na mgombea wa nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika Dkt. Faustine Ndugulile kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 25, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni