Matukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Majaliwa Bungeni

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Deogratius Ndejembi Bungeni jijini Dodoma, Juni 19, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Naibu Spika wa Bunge, Bungeni Jijini Dodoma, Juni 19, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Kundo Mathew, Bungeni jijini Dodoma, Juni 19, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni