Dkt. Mpango amfariji Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimfariji Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu kufuatia kifo cha Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro Tixon Nzunda wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tarehe 18 Juni 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimfariji Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro Patrick Boisafi kufuatia kifo cha Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro Tixon Nzunda wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tarehe 18 Juni 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni