Waziri Mkuu akagua daraja la Nambilanje lililokatika

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wananchi wakati alipokagua daraja la Nambilanje  katika mto Mbwemkuru linaloungnisha wilaya za Ruangwa na Kilwa  mkoani Lindi, Mei 25, 2024. Daraja hilo limekatika kutokana mvua kubwa zilizonyesha. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Daraja la Nambilanje katika mto Mbwemkuru linaloungnisha wilaya za Ruangwa na Kilwa mkoani Lindi ambalo limekatika kutokana na mvua kubwa zilizonyesha. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alikagua uharibufu uliotokea katika daraja hilo, Mei 25, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Vijana wakivusha pikipiki katika mto Mbwemkuru linalounganisha wilaya za Ruangwa na Kilwa mkoani Lindi ambalo limekatika kutokana na mvua kubwa zilizonyesha. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alikagua uharibufu uliotokea katika daraja hilo, Mei 25, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni