Makamu wa Rais awasili uwanja wa Sheikh Amri Abeid kushiriki Mei Mosi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwapungia mkono watu wakati akiwasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Mkoani Arusha kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani tarehe 01 Mei 2024. Makamu wa Rais amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho hayo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Mkoani Arusha kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani tarehe 01 Mei 2024. Makamu wa Rais amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho hayo.

Chapisha Maoni

0 Maoni