Dkt. Mpango akabidhi magari 21 kwa Jeshi la Polisi

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa hafla ya kufungua Kituo cha Polisi Daraja “A” Wilaya ya Kipolisi Mtumba na Kukabidhi Magari 21 kwa Jeshi la Polisi iliyofanyika eneo la Mtumba Mkoani Dodoma tarehe 11 Mei 2024.

Wageni waalikwa wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa hafla ya kufungua Kituo cha Polisi Daraja “A” Wilaya ya Kipolisi Mtumba na Kukabidhi Magari 21 kwa Jeshi la Polisi iliyofanyika eneo la Mtumba Mkoani Dodoma tarehe 11 Mei 2024.

Polisi wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa hafla ya kufungua Kituo cha Polisi Daraja “A” Wilaya ya Kipolisi Mtumba na Kukabidhi Magari 21 kwa Jeshi la Polisi iliyofanyika eneo la Mtumba Mkoani Dodoma tarehe 11 Mei 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni