Waziri Mkuu akutana na Balozi wa Pakistan nchini

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Pakistani nchini, Siraj Khan, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma Aprili 08, 2024. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa zawadi ya picha ya mlima Kilimanjaro Balozi wa Pakistani nchini, Siraj Khan, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma Aprili 08, 2024. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni