Uzinduzi wa nembo ya maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizindua Nembo ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano, kwenye ukumbi wa Kambarage Hazina, jijini Dodoma Aprili 08, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kabla ya kuzindua Nembo ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano, kwenye ukumbi wa Kambarage Hazina, jijini Dodoma Aprili 08, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni