Rais azungumza na Jukwaaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara na Wawekezaji katika Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki lililofanyika Jijini Istanbul tarehe 19 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Uturuki Mhe. Cevdet Yilmaz pamoja na viongozi mbalimbali katika Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki lililofanyika Jijini Istanbul tarehe 19 Aprili, 2024.

Makamu wa Rais wa Uturuki Mhe. Cevdet Yilmaz akizungumza katika Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki lililofanyika Jijini Istanbul tarehe 19 Aprili, 2024.

Baadhi ya Wakuu wa Taasisi mbalimbali wakiwa kwenye Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki lililofanyika Jijini Istanbul tarehe 19 Aprili, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni