Dkt. Mpango ashiriki Dua na Maombi ya kuliombea Taifa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameungana na Viongozi wa Dini pamoja na Watanzania kwa ujumla katika Dua na Maombi ya kuliombea Taifa kuelekea Miaka 60 ya Muungano yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma tarehe 22 Aprili 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wa dini mara baada ya kuhitimishwa kwa Dua na Maombi ya kuliombea Taifa kuelekea Miaka 60 ya Muungano yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma tarehe 22 Aprili 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni