Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Bw. Aron Zake Afisa Masoko wa Kamuni ya Uchapishaji Vitabu ya APE alipotembelea na kukagua mabanda mbalimbali ya maonesho ya vitabu na huduma wakati wa Kongamano la Nne la Idhaa za Kiswahili Duniani 2024 katika Hoteli ya Eden Highlands Jijini Mbeya tarehe 18 Machi, 2024. Kaulimbiu ya Kongamano hilo ni; “Tasnia ya Habari ni Fursa za Ubidhaishaji Kiswahili Duniani” (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mtendaji wa
Baraza la Kiswahili Zanzibar (BAKIZA) Dkt. Mwanahija Juma wakati alipotembelea
na kukagua mabanda ya maonesho ya vitabu na huduma mbalimbali kwenye Kongamano
la Nne la Idhaa za Kiswahili Duniani 2024 katika Hoteli ya Eden Highlands
Jijini Mbeya tarehe 18 Machi, 2024. Kaulimbiu ya Kongamano hilo ni; “Tasnia ya
Habari ni Fursa za Ubidhaishaji Kiswahili Duniani” (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkurugenzi wa Masoko
kutoka Taasisi ya UTT- AMIS Bw. Daudi Mbaga wakati alipotembeleana kukagua
mabanda ya maonesho ya vitabu na huduma mbalimbali kwenye Kongamano la Nne la
Idhaa za Kiswahili Duniani 2024 katika Hoteli ya Eden Highlands Jijini Mbeya
tarehe 18 Machi, 2024. Kaulimbiu ya Kongamano hilo ni; “Tasnia ya Habari ni
Fursa za Ubidhaishaji Kiswahili Duniani” (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Tuzo ya Heshima
Mtoto Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili
Hayati Ali Hassan Mwinyi, Abdulla Mwinyi
ikiwa ni kutambua mchango wa Hayati Ali Hassan Mwinyi katika kukuza lugha ya
kiswahili kwenye Kongamano la Nne la Idhaa za Kiswahili Duniani 2024
lililofanyika katika Hoteli ya Eden Highlands Jijini Mbeya tarehe 18 Machi,
2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye Kongamano la
Nne la Idhaa za Kiswahili Duniani 2024 lililofanyika katika Hoteli ya Eden
Highlands Jijini Mbeya tarehe 18 Machi, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 Maoni