NEC yatoa mafunzo kwa wasimamizi wa uchaguzi mdogo

Wasimamizi wa Uchaguzi wa Vituo na Wasimamizi Wasaidizi Uchaguzi wa Vituo kutoka Kata ya Kimbiji katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni, Dar es Salaam wakishiriki katika mafunzo ya ufungaji sanduku la Kupigia Kura ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi mdogo wa udiwani wa kata 22 za Tanzania Bara unaotaraji kufanyika Machi 20,2024.

Wasimamizi wa Uchaguzi wa Vituo na Wasimamizi Wasaidizi Uchaguzi wa Vituo kutoka Kata ya Kimbiji katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni, Dar es Salaam wakishiriki katika mafunzo ya ufungaji kituturi ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi mdogo wa udiwani wa kata 22 za Tanzania Bara unaotaraji kufanyika Machi 20,2024.

Wasimamizi wa vituo na wasimamizi wa saidizi wa vituo 56  watakao simamia Uchaguzi wa Mdogo udiwani Kata ya Kimbiji katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni, Dar es Salaam wamekula kiapo cha kutunza Siri na kujitoa uanchama wa Vyama vya siasa leo Machi 17,2024 mbele ya Msimamizi Msaidizi wa Jimbo la Kigamboni, Bi. Tabia Nzowa. Kata ya Kimbiji ni miongoni mwa Kata 22 za Tanzania Bara zinazotaraji kufanya Uchaguzi Mdogo wa Udiwani Machi 20, 2024. (Picha zote na NEC).

Chapisha Maoni

0 Maoni