Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizindua Ripoti ya Mpango wa
Matumizi Bora ya Ardhi ya Kijiji cha Chikundi wakati wa Mkutano wa wadau
Kujadili Utekelezaji Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP)
uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Ruangwa Pride wilayani
Ruangwa, Lindi tarehe 22 Machi, 2024. Mkutano huo umebebwa na kaulimbiu
isemayo; “Usawa wa Kijinsia katika Umiliki wa ardhi kwa ustawi wa jamii”. Wa
kwanza kulia ni Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Mhe. Geofrey Pinda na katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe. Hassan Ngoma.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akionesha vitabu vya Ripoti ya
Mpango wa Matumizi ya Ardhi ya Kijiji cha Chikundi mara bada ya kuzindua Mpango
huo wakati wa Mkutano wa wadau Kujadili Utekelezaji Mradi wa Uboreshaji Usalama
wa Milki za Ardhi (LTIP) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya
Rangwa Pride mkoani Lindi tarehe 22 Machi, 2024. Mkutano huo umebebwa na
kaulimbiu isemayo; “Usawa wa Kijinsia katika Umiliki wa ardhi kwa ustawi wa
jamii”. Wa kwanza kulia ni Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi Mhe. Geofrey Pinda na katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe. Hassan
Ngoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Bw. Mohamedi Ismail
Ngokono Mwenyekiti wa Kijiji cha Chikundi Ripoti ya Mpango wa Matumizi ya Ardhi
Kijiji cha Chikundi Kata ya Mandawa Wilaya ya Ruangwa wakati wa Mkutano wa
wadau Kujadili Utekelezaji Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP)
uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Rangwa Pride mkoani Lindi
tarehe 22 Machi, 2024. Wa kwanza kulia
ni Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geofrey
Pinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Mzee Jafari mnaheka cheti cha Ardhi ya Kijiji kinachoonesha eneo lote linalomilikiwa na kijiji cha Juhudi B Kata ya Chinongwe wakati wa Mkutano wa wadau Kujadili Utekelezaji Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Rangwa Pride mkoani Lindi tarehe 22 Machi, 2024. Wa kwanza kulia ni Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geofrey Pinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akihutubia wakati wa Mkutano wadau kujadili utekelezaji Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Rangwa Pride mkoani Lindi tarehe 22 Machi, 2024. Mkutano huo umebebwa na kaulimbiu isemayo; “Usawa wa Kijinsia katika Umiliki wa Ardhi kwa Ustawi wa Jamii”. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 Maoni