Waziri Mkuu Majaliwa atembelea Sekondari ya Lucas Malia

 

Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa Kassim Majaliwa akimuangalia Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza wa Shule ya Sekondari ya wasichana ya Lucas Malia, Greater david akifanya majaribio ya kuwasha umeme kwa kutumia Sakiti kupitia Kompyuta, wakati alipotembelea shule hiyo leo Februari 22, 2024 Ruangwa, mkoani Lindi (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa Kassim Majaliwa akikagua maabara ya kompyuta alipotembelea Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Lucas Malia iliyopo Ruangwa mkoani Lindi, leo Februari 22, 2024 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa Kassim Majaliwa akiwasalimia wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Lucas Malia alipotembelea Shule hiyo iliyopo Ruangwa mkoani Lindi, leo Februari 22, 2024 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa Kassim Majaliwa akizungumza na wazazi na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Lucas Malia alipotembelea Shule hiyo iliyopo Ruangwa mkoani Lindi, leo Februari 22, 2024 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni