Ufunguzi wa Jukwaa la Wadau wa Sekta Mtambuka katika Kusimamia Rasilimali za Maji chini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza katika Ufunguzi wa Mkutano wa Sita wa Jukwaa la Wadau wa Sekta Mtambuka katika Kusimamia Rasilimali za Maji nchini, kwenye ukumbi wa Maktaba wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Februari 11.2024 ambapo Waziri Mkuu alikua mgeni rasmi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikabidhi Tuzo kwa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wake katika kuwezesha upatikanaji wa maji safi na salama kwa watanzania Pamoja na kuwa Kinara katika kusimamia Utunzaji na uimarishaji wa vyanzo vya maji, kwenye Hafla ya Ufunguzi wa Jukwaa la Wadau wa Sekta Mtambuka Katika Kusimamia Rasilimali za Maji Nchi, iliofanyika katika Ukumbi wa Maktaba Mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Februari 11. 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni