Rais Samia awasili Windhoek kwa ajili ya maziko ya Dkt. Geingob

Rais Samia Suluhu Hassan awasili Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Rais wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob. Shughuli za Mazishi za Rais huyo Hayati Dkt. Hage Geingob zitafanyika katika Jiji la Windhoek tarehe 24-25 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amewasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Rais wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob, tarehe 23 Februari, 2024. Shughuli za Mazishi za Rais huyo Hayati Dkt. Hage Geingob zitafanyika katika Jiji la Windhoek tarehe 24-25 Februari, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni