Rais Samia afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Abiy Ahmed Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Abiy Ahmed Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni