Rais Dk. Mwinyi awasili Dar kuongoza mkutano kesho

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuwasili Jijini Dar es Salaam kushiriki na kuongoza jukwaa la wawekezaji wa Tanzania na Marekani kuhusu mustakabali wa huduma ya saratani barani Afrika kesho tarehe: 6 Februari 2024 katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akilakiwa baada ya kuwasili Jijini Dar es Salaam kushiriki na kuongoza jukwaa la wawekezaji wa Tanzania na Marekani kuhusu mustakabali wa huduma ya saratani barani Afrika kesho tarehe: 6 Februari 2024 katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam.

Chapisha Maoni

0 Maoni