Rais Dk. Mwinyi akutana na viongozi wa mabenki Tanzania.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Maafisa Watendaji Wakuu wa Taasisi za fedha nchini Ikulu Zanzibar tarehe 24 Februari 2024.

Lengo la kikao hicho ni ushirikiano kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Taasisi za fedha kwa maendeleo.



Chapisha Maoni

0 Maoni