Makamu wa Rais Dkt. Mpango aongoza kuagwa mwili wa Lowassa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam ambapo amewaongoza Viongozi na Wananchi katika kutoa heshima za mwisho kwa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akitia saini kitabu cha maombolezo alipowasili katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam ambapo amewaongoza Viongozi na Wananchi katika kutoa heshima za mwisho kwa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa amekaa pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam ambapo amewaongoza Viongozi na Wananchi katika kutoa heshima za mwisho kwa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa.

Familia ya Hayati Edward Lowassa ikiwa imekaa katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam  wakati wa kuuagwa mwili wa Lowassa, ambapo Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewaongoza Viongozi na Wananchi katika kutoa heshima za mwisho kwa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa amesimama na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi wakati mwili wa Hayati Edward Lowassa ukiingizwa katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam ambapo amewaongoza Viongozi na Wananchi katika kutoa heshima za mwisho kwa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa.


Chapisha Maoni

0 Maoni