Majaliwa na mkewe wafika kutoa pole nyumbani kwa Lowassa

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na Mkewe Mary Majiwa, akisaini kitabu cha maombolezo, kwenye msiba wa aliyekua Waziri Mkuu Mstaafu, Marehemu Edward Lowassa, nyumbani kwake Masaki, jijini Dar es Salaam, Februari 11.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa pole Mjane wa aliyekua Waziri Mkuu Mstaafu, Marehemu Edward Lowassa, Regina Lowassa, nyumbani kwake Masaki, jijini Dar es Salaam, Februari 11.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa akimpa pole Mjane wa aliyekua Waziri Mkuu Mstaafu, Marehemu Edward Lowassa, Regina Lowassa, nyumbani kwake Masaki, jijini Dar es Salaam, Februari 11.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa pole Mtoto wa aliyekua Waziri Mkuu Mstaafu, Marehemu Edward Lowassa, Fred Lowassa, nyumbani kwake Masaki, jijini Dar es Salaam, Februari 11.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni