Maazimio ya ushirikiano wa wizara za SMT na SMZ yasainiwa

 

WAZIRI wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Zanzibar Shamata Shaame Khamis (katikati), kulina ni Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mudrika Ramadhan Suraga na kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii wa SMT Angellah Kairuki, wakisaini maazimio na maelekezo ya kikao cha ushirikiano kati ya SMT, NA SMZ, mkutano uliofanyika mjini  Chake Chake.

Mawaziri kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Angellah Kairuki, waziri wa Kilimi Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Zanzibar Shamata Shaame Khamis (katikati) na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mudrika Ramadhan Suraga, wakionyesha baadhi ya maazimio na maelekezo baada ya kuyasaini katika cha ushirikiano kati ya sherikali hiyo na kufanyika mjini Chake Chake.

Chapisha Maoni

0 Maoni