Waziri Mkuu Majaliwa atembelea makao ya watoto ya SWACCO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa wakiwahudumia chakula baadhi ya watoto wa kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum cha SWACCO kilichopo wilayani Songea Mkoani Ruvuma, wakati wa hafla ya chakula cha mchana aliyoiandaa kwa ajili ya Watoto waishio katika kituo hicho. Januari 5, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Marry Majaliwa wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wanaoishi katika kituo cha kulele watoto wenye mahitaji maalum cha SWACCO kilichopo wilayani Songea Mkoani Ruvuma baada ya kukabidhi vifaa na mahitaji mbalimbali kwa watoto hao, wakati wa hafla ya chakula cha mchana aliyoiandaa kwa ajili ya Watoto waishio katika kituo hicho. Januari 5, 2024.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). 

Chapisha Maoni

0 Maoni