Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Naibu Waziri Mkuu wa China

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpokea Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China Liu Guozhong alipowasili Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni Jijini Dar es Salaam, Januari 23, 2024. Kulia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China Liu Guozhong alipowasili Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni Jijini Dar es Salaam, Januari 23, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa kwenye mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China Liu Guozhong alipowasili Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni Jijini Dar es Salaam, Januari 23, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China Liu Guozhong baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni Jijini Dar es Salaam, Januari 23, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China Liu Guozhong wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Serikali baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni Jijini Dar es Salaam, Januari 23, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni