Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi Sikuli ya Muungano, Zanzibar

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi, Susan Kunambi, wakati alipowasili katika eneo la Kibanda Maiti, kuweka jiwe la Msingi Sikuli ya Muungano, iliyopo katika Wilaya ya Mjini, mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar 10.1.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mshauri Elekezi wa mradi huo, Mhandisi Salmin Hassan Ally kutoka Wakala wa Majengo Zanzibar (ZBA), kabla ya kuweka jiwe la Msingi Sikuli ya Muungano, iliyopo katika Wilaya ya Mjini, mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar 10.1.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi Sikuli ya Muungano, iliyopo katika Wilaya ya Mjini, mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar 10.1.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni