Rais Samia azindua Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar


 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Chakechake Pemba mara baada ya kufungua Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) tarehe 09 Januari, 2024.


Chapisha Maoni

0 Maoni