Rais Samia aongea na kikosi cha Stars kabla ya kuivaa Morocco

 

Rais wa JMT Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wachezaji wa Taifa Stars kwa njia ya simu kwa lengo la kuwatia moyo na kuwatakia kila laheri dakika chache kabla ya kuanza kwa mchezo wa kwanza wa group F dhidi ya Morocco kwenye uwanja wa Laurent Pokou jijini San Pedro, Ivory Coast.

Chapisha Maoni

0 Maoni